CHRONICX®

FOLLOW ME:

Instagram

Sunday, July 27, 2014

MSANII WA RNB WA NCHINI MAREKANI,JOHN LEGEND ATOA MAWAZO YAKE KUHUSU MAHUSIANO YA RANGI TOFAUTI.

NEW MUSIC:LL COOL J FT. MAVADO - THE HUSTLER(PRODUCED BY JERRY WONDA).

NYIMBO MPYA KUTOKA KWA RAPPA/MC NA MUIGIZAJI FILAMU MKONGWE ANAEJULIKANA KWA JINA LA LL COOL J AKIWA AMEMSHIRIKISHA MSANII WA NYIMBO ZA REGGAE MAVADO,NYIMBO INAITWA THE HUSTLER NA ANATEGEMEA KUIWEKA KATIKA ALBUM AMBAYO ANATARAJIA KUITOA ITAKAYOITWA THE G.O.A.T 2(GREATEST OF ALL TIMES 2).

MAKING THE VIDEO:NIKKI WA II FT. BEN POL & G.NAKO - STAKI KAZI.

RAPPA JOH MAKINI & NIKKI'S FRIEND VICTOR MRISHA A.K.A KING VICTOR.

JOH MAKINI

A-CITY RAPPA JOH MAKINI FROM WEUSI MUSIC COMPANY & RIVER CAMP SOLDIERS @ THE SCENE.


THE PICTURES ARE FOR BEHIND THE SCENE OF NEW VIDEO FROM A-CITY RAPPA CALLED NIKKI WA II REPRESENTING WEUSI MUSIC COMPANY & RIVER CAMP SOLDIERS,WHICH FEATURED HIS FELLOW RAPPA FROM WEUSI CALLED G.NAKO & TANZANIAN RNB ARTIST CALLED BEN POL.
THIS VIDEO SCENE WAS TAKEN AT LONGIDO - MAASAI LAND.

Saturday, July 26, 2014

NEW JOINT:COMMON FT. BIG SEAN - DIAMONDS(OFFICIAL MUSIC VIDEO).

FILAMU MPYA MAARUFU KWA JINA LA "THE EXPENDABLES 3' IMEVUJA MTANDAONI KABLA YA SIKU RASMI YA KUACHIWA.

MA-STAA WALIOSHIRIKI KUCHEZA MUVI HII YA "THE EXPENDABLES3'
FILAMU MPYA ILIYOCHEZWA NA MASTAA WAKUBWA SANA KATIKA TASNIA YA FILAMU ZA ACTION NCHINI MAREKANI IJULIKANAYO KAMA "THE EXPENDABLES 3' IMEVUJA MTANDAONI KABLA YA TAREHE RASMI ILIYOPANGWA KUACHIWA SOKONI.
FILAMU HIYO INASEMEKANA KUVUJA IKIWA BADO WIKI TATU IACHIWE RASMI SOKONI NA IMESHADOWNLOADIWA ZAIDI YA MARA 189,000 KINYUME NA TARATIBU.

RAPPA MKONGWE AJULIKANAE KWA JINA LA BUSTA RHYMES AJITOA KATIKA KUNDI LA YMCMB.

BAADA YA KUWA MWANACHAMA KWA MIAKA MIWILI KATIKA KUNDI LA YOUNG MONEY CASH MONEY(YMCMB) RAPPA MKONGWE ANAEJULIKANA KAMA BUSTA RHYMES AMEJITOA KATIKA KUNDI HILO.AKIONGEA NA MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA RADIO CHA "SWAY IN THE MORNING' KINACHOONGOZWA NA MTANGAZAJI SWAY KWENYE
ALISEMA HAKUKUA NA TOFAUTI ZOZOTE KATI YAKE NA WAHUSIKA WA LABEL YA CASH MONEY PAMOJA NA KUNDI LA YMCMB.
PIA RAPPA BUSTA RHYMES ALISEMA KUWA AMESHAONGEA NA C.E.O WA LEBO YA CASH MONEY AJULIKANAE KAMA BABY AU BIRDMAN KUHUSIANA NA SWALA HILO NA KAMA KUTATOKEA DHUMUNI LINGINE LA MUUNGANIKO WA KIBIASHARA KATI YAO WATAWEZA KUUNGANA NA KUFANYA HIO BIASHARA.

BUSTA RHYMES ANAENDELEA NA MAJUKUMU YAKE KIMZIKI NA AMESHAFANYA NYIMBO ALIYOMSHIRIKISHA RAPPA EMINEM INAYOITWA "CALM DOWN", NA PIA ANATARAJIA KUACHIA ALBUM YAKE YAKE YA KUMI(10) ITAKAYOITWA  "E.L.E .2.'